Connect with us

Habari za Kitaifa

YANGA YAANIKA KIASI KILICHOCHANGWA MPAKA SASA

KLABU ya Yanga Sc imeweka hadharani tena fedha ilizopokea kwenye akaunti yake zinatokana na michango ya mashabiki na wanachama wake.

Michango hiyo iliyokusanywa kuanzia Agosti 11 2018 mpaka 23 2018 imefikia jumla ya kiasi cha 3,073,263.

Yanga imezidi kuomba wanachama, mashabiki, wapenzi na wadau wa klabu hiyo kuendelea kujitoa kuisaidia kutokana na kipindi cha mpito ambacho imekuwa ikipitia hivi sasa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kitaifa