Connect with us

Habari za Kimataifa

(VIDEO) SHUHUDIA SALAMBA ALIVYOKOSA PENATI DHIDI YA ASANTE KOTOKO

Simba imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki huku mshambuliaji Adam Salamba akikosa penati katika kipute hicho. Shuhudia jinsi ilivyokuwa wakati akielekea kupiga na mara baada ya kupiga mkwaju huo:

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kimataifa