Connect with us

Habari za Kimataifa

(VIDEO) MABAO YA YANGA Vs USM ALGER, MAKAMBO NI BALAA

Yanga imefanikiwa kuifunga USM Alger ya Algeria kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliopigwa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo ulichezwa jana Jumapili lakini gumzo zaidi alikuwa ni mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo ambaye alifunga bao moja katika mtanange huo.

Bonyeza video ushuhudie alichokifanya Makambo mbele ya Yusuf Manji ambaye alikuwepo uwanjani hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kimataifa