Connect with us

Habari za Kitaifa

VIDEO: KELVIN JOHN A.K.A MBAPE WA BONGO HUYU HAPA BAADA YA KUPIGA HAT TRICK

Serengeti Boys imewaonyesha Watanzania inaweza baada ya kuitwanga Rwanda kwa mabao 4-0 huku mshambuliaji wake Kelvin John akipiga hat trick.
John alipiga mabao matatu huku akitoa pasi ya bao moja lililofungwa na Agiri Ngoda.
Mashabiki muda wote kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Saam, walikuwa wakishangilia kwa nguvu wakati Serengeti Boys wakionyesha soka safi la kitabuni
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kitaifa