Connect with us

Habari za Kitaifa

OKWI AFUNGIKIA MBINU ZA KOCHA MPYA,SAFARI YA UTURUKI

Mshambuliaji wa simba emmanuel okwi baada ya kutua airport akitokea Uturuki amesema “kambi yao ya Uturuki ilikuwa ya mafanikio makubwa wana kocha mpya ambae ana mbinu nzuri ambae amewapata vitu vingi kwenye maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi.ingawa pre season inaendelea ila tumerudi kwa sababu ya siku yetu simba day”.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kitaifa