Connect with us

Habari za Kimataifa

MATAJIRI WA PSG WAIKOMALIA CHELSEA, WANAMTAKA N’GOLO KANTE

Klabu ya Chelsea imeendelea kuwa na msimamo wa kutokuwa tayari kumuuza kiungo wake, N’Golo Kante, lakini upande wa pili PSG ya Ufaransa imeendelea na mchakato wa kutaka kumsajili.

Katika kuhakikisha hilo halitokei, Chelsea ipo tayari kumpa ofa kiungo huyo ya kumlipa pauni 290,000 kwa wiki ili aendelee kubaki.

Ikiwa Chelsea watampa dau hilo, atakuwa mchezaji ambaye analipwa mshahara mkubwa zaidi klabuni hapo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kimataifa