Connect with us

Habari za Kitaifa

KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOTUA MWANZA KWA PIPA

Kikosi cha Simba kimetua jijini Mwanza kikitokea Arusha, kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Mtibwa Sugar.

Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Ligi Kuu Bars msimu wa 2018/19

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kitaifa