Connect with us

Habari za Kimataifa

JOSE MOURINHO AKITIMULIWA MAN UNITED, ANATUA URENO

Kweli msimu wa tatu kwa kocha Jose Mourinho unaweza kuwa siyo mzuri popote anapokwenda, hiyo ni baada ya kuonekana kuw amambo yake yanaendelea kuwa hivyo ndani ya Manchester United.

Inaelezwa kuwa kocha huyo ameanza kuwaniwa na Shirikisho la Soka la Ureno ili akaifundishe timu ya taifa hilo.

Mourinho yupo hatarini kupoteza kibarua chake kutokana na kuvurugana na uongozi klabuni kwake na hiyo inawapa nguvu mabosi hao wa Ureno kuongeza nguvu ya kuanza kumshawishi ajiunge nao ikitokea akaondoka United.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kimataifa