Connect with us

Habari za Kitaifa

HIZI NDIYO TAARIFA ZA MKWASA KUJIUZULU YANGA, SABABU NI…

Inaelezwa kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa anatarajiwa kukabidhi barua ya kuachia madaraka hayo klabuni hapo sababu ikidaiwa kuwa ni za kiafya.

Mkwasa aliyeanza kuitumikia Yanga kama mchezaji miaka ya 1980 kisha baadaye kuwa kocha amesema ameshauriwa hospitali kupata mapumziko.

Mkwasa ambaye ni mume wa mwandishi wa habari na mtangazaji wa zamani wa Redio na Televisheni nchini, Betty Chalamila Mkwasa aliyeng’ara RTD na baadaye Redio One na ITV, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya wa zamani amekuwa kimya kwa siku kadhaa za hivi karibuni.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kitaifa