Connect with us

Habari za Kitaifa

AISHI MANULA ATAFANYA HAYA KUWAKAZIA ASANTE KOTOKO

GOLIKIPA wa Mabingwa wa soka Tanzania, Simba Sc AIshi Manula ameongea haya kuelekea mchezo wa kirafiki utakaofanyika hapo kesho August 8, 2018 katika Tamasha la Simba Day dhidi ya Mabingwa kutoka Afrika Magharibi Asante Kotoko ya Ghana.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Habari za Kitaifa