Usajili

BIASHARA UNITED YA MUSOMA YAANZA KUWEKA MAZINGIRA SAFI YA LIGI KUU

Uwanja wa kumbukumbu ya Karume mjini Musoma umeanza kufanyiwa ukarabati ili kuruhusu michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao inayoihusu timu ya Biashara United ya Musoma, kuchezwa katika uwanja huo.