Usajili

SHUHUDIA MAPICHA PICHA YANGA ILIVYOIBAMIZA KAGERA SUGAR 3-0 LIGI KUU

Yanga imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye Uwanja wa Taifa, leo Ijumaa.

Ushindi huo umekuja baada ya kuonyesha kazi nzuri mbele ya kikosi hicho ambacho kinanolewa na Kocha Meckie Maxime kushindwa kuzuia mashambulizi ya Yanga yaliyokuwa ya kiongozwa na Obrey Chirwa.