Usajili

VIDEO: FULL TIME YANGA 1-1 SINGIDA, MAPINDUZI CUP

Yanga imepata matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Singida United katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan kisiwani Zanzibar matokeo ambayo yamewawezesha kusonga mbele na kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.