Usajili

MAKUNDI NDONDO CUP MBEYA

Ndondo Cup Mbeya imeanza kushika kasi, tayari makundi manne yameshapangwa ambapo kila kundi lina timu nne, michuano hiyo inatarajia kuanza Ijumaa December 8, 2017 mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Terminal vs Fellalikwenye uwanja wa TLS (zamani ulikuwa ukiitwa Ottu).

Kundi A

Airport  FC

Rafael Group Ltd

Chipukizi FC

Mbeya City

Kundi B

Polisi Mbeya

Tukuyu Star

Mbaspo Soccer Academy

Foisa

Kundi C

Fellali FC

Black Star

Terminal FC

Panga ua

Kundi D

Itezi United

Forest wazawa

Zaragoza FC

Sinde FC