Usajili

Kocha Mkuu wa Singida United, Fred Felix Minziro, amekubali bila kinyongo kuyaacha majukumu hayo chini ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm huku akisema kuwa ujio wa kocha huyo utasaidia kutoa dozi kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao.

MWENDELEZO wa vita nchini Syria unaosababisha watu wengi kupoteza maisha umekuwa ukimuumiza mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi.

Akitoa hisia zake kupitia ukurasa wake wa Facebook, Messi alisema: "Hali ya vita imezidi, watoto wa Syria wamekuwa wakiumizwa na kuingia kwenye mateso kwa miaka sita sasa.