Usajili

Baada ya tetesi za wiki kadhaa hatimaye Klabu ya Simba imethibitisha juu ya kocha mpya kikosini hapo, ambapo ni raia wa Ufaransa na mwenye uzoefu wa soka la Afrika.

Hii hapa taarifa rasmi ya Klabu ya Simba juu ya ujio wa kocha huyo ambaye ameshatua nchini akiwa na msaidizi wake raia wa Morocco.