Usajili

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma amefunguka mengi baada ya kipindi kirefu kupita akiwa kimya na mengi kuzungumzwa wakati akiwa nje ya uwanja kwa takribani nusu msimu kutokana na maumivu ya goti.