Usajili

Timu ya vijana ya Azam FC chini ya umri wa miaka 20 ‘Azam U-20’ imeishushia kipigo kizito cha mabao 15-1 FFU Ukonga, katika mchezo wa kirafiki uliomalizika jioni ya Ijumaa Machi 16 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.