Usajili

MABINGWA wa kihistoria wa UEFA Champions league, Real Madrid, wapo katika kuhaha huku na kule kuisaka saini ya Staa wa Liveepool na timu ya Taifa ya Misri, Mohammed Salah huku wakitaka kumuhusisha mchezaji wao Luca Vasquez katika dili hilo, hii ni kwa mujibu wa jarida la Daily Mirror.

 Taasisi ya Lengo Football Academy yenye makazi yake Mkoani Arusha nchini Tanzania na Australia imeteua vijana wawili wa Tanzania wenye umri wa miaka 12 Laigwanani Lomayani Mollel na Ziporah Mollel katika mpango wake unaofahamika kama  Football For Friendship.