Wachezaji

Laudit Mavugo

Laudit Mavugo
Forward

 • Full Name

  Laudit Mavugo

 • Date of Birth

  October 10th, 1993

 • Place of Birth

  Burundi

 • Height

  158 cm

 • Weight

  65kg

Career

 • Matches: 87
 • Goals: 10
 • Discipline: 3 fouls against
 • Passing: 23
 • Club Name: Simba Sports Club
 • Club Debut: March 24th, 2010
Simba Sports Club 87 Matches Played

Overview

Laudit Mavugo ni mshambuliaji wa Simba ambaye rekodi zinaonyesha alizaliwa Oktoba 10, 1993 nchini Burundi.

Mbali ya kuwa ni mshambuliaji wa Simba pia amekuwa kiitumikia timu yake ya taifa ya Burundi tangu mwaka 2012.

Alianza kuichezea Police FC ya Rwanda baadaye alirejea nyumbani na kusajiliwa katika timu ya Vital'O ya Burundi, kuonyesha makali yake katika msimu wake wa kwanza tu kikosini hapo alifunga mabao 29katika mechi 28.

Alitua Simba mwaka jana baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu, iliwahi kuelezwa kuwa alishafanya mazungumzo na Simba lakini dili lake la usajili lilikwamba msimu mmoja awali.

Chini ya uongozi wa Rais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva alitua klabuni hapo na kuonyesha uwezo mkubwa katika mchezo wake wa kwanza siku ya Simba Day.