Wachezaji

Obrey Chirwa

Obrey Chirwa
Forward

 • Full Name

  Obrey Chirwa

 • Place of Birth

  Zimbabwe

 • Weight

  66

Career

 • Club Name: Young Africans Sports Club
 • Previous Club: Young Africans Sports Club
Young Africans Sports Club 0 Matches Played

Overview

Obrey Chirwa ni mchezaji wa Yanga, aliyezaliwa nchini Zimbabwe miaka 23 iliyopita. Hivi sasa anacheza  nafasi ya ushambuliaji na ameshaweka kimiani magoli 6 katika ligi kuu ya Vodacom msimu huh.