Wachezaji

Juma Kaseja

Juma Kaseja
Goalkeeper

 • Full Name

  Juma Kaseja Juma

 • Date of Birth

  April 20th, 1988

 • Place of Birth

  Kigoma

 • Height

  155 cm

 • Weight

  60 kg

Career

 • Matches: 150
 • Goals: 6
 • Discipline: 3 fouls against
 • Passing: 23
 • Club Name: Kagera Sugar
 • Club Debut: March 24th, 2009
 • Previous Club: Simba Sports Club
Kagera Sugar 150 Matches Played

Overview

Juma Kaseja ni kipa mkongwe ambaye rekodi zinaonyesha alizaliwa Aprili 20, 1985. Kwa sasa ni kipa wa Kagera Sugar ya mkoani Kagera, timu ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara maarufu kwa jina la Ligi Kuu ya Vodacom.

Kaseja amezichezea timu kubwa zikiwemo Moro United, Simba na Yanga, pia amewahi kuichezea Mbeya City kabla ya kutua Kagera Sugar.

Kaseja ni zao la Shule ya Makongo Sekondari ya Dar es Salaam. Baada ya kutosha katika shule hiyo alijiunga na Moro United F.C. msimu wa 2000-2001.

Alicheza kwa misimu miwili kisha akasajiliwa na Simba. Aliichezea Simba kwa mafanikio na kutwa taji la Ligi Kuu Tanzania Bara, pia alikuwemo katika kikosi cha Simba kilichofika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuitoa Zamalek ya Misri iliyokuwa bingwa mtetezi.

Novemba 11, 2013, alisajiliwa na Young Africans S.C ‘Yanga’. Baadaye alirejea Simba.

Katika ngazi ya timu ya taifa amecheza mechi nyingi katika kikosi cha Tanzania, Taifa Stars na kile cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’.

Nje ya uwanja Kaseja ni baba wa watoto wawili mapacha kupitia kwa mkewe Nasra Nassoro.