Wachezaji

Nadir Haroub 'Cannavaro'

Nadir Haroub 'Cannavaro'
Defender

 • Full Name

  Nadir Haroub

 • Place of Birth

  Tanzania

 • Height

  5 ft 11 in

 • Weight

  58 kg

Career

 • Matches: 125
 • Goals: 10
 • Discipline: 3 fouls against
 • Passing: 25
 • Club Name: Young Africans Sports Club
 • Club Debut: March 24th, 2009
 • Previous Club: Simba Sports Club
Young Africans Sports Club 125 Matches Played

Overview

Nadir Haroub Ali alizaliwa Februari 10, 1982, ni beki wa Yanga ambaye amedumu katika kikosi cha timu hiyo kwa miaka mingi. Ni mzaliwa wa Visiwa vya Zanzibar, anajulikana kwa jina la utani la Cannavaro akifananishwa na beki wa zamani wa Italia na Real Madrid Fabio Cannavaro.

MASHA YA SOKA
Aina ya uchezaji wake ni wa kutumia nguvu nyingi na akili, hana mwili mkubwa lakini amekuwa akifanya kazi kubwa uwanjani. Mwaka 2009 aliondoka Yanga na kwenda kuichezea Vancouver Whitecaps ya Canada baadaye alirejea Yanga na yupo hadi leo.

KIMATAIFA

Haroub ameiwakilisha Tanzania kupitia timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika michuano mingi ikiwemo kuwania kufuzu FIFA World Cup kuwania kufuzu, amecheza mechi zaidi ya 51 akiwa katika kikosi hicho.

Aidha ameichezea mechi zaidi ya 21 timu ya taifa ya Zanzibar ambayo ni sehemu ya nchi ya Tanzania, kabla ya visiwa hivyo kupata uanachama rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), aliiwakilisha timu ya Zanzibar maarufu kwa jina la Ngorongoro Heroes katika michuano ya CECAFA Cup (mwaka 2007, 2012 na 2015).