Wachezaji

James Kotei

James Kotei
Forward

 • Full Name

  James Kotei

 • Place of Birth

  Ghana

 • Height

  156 cm

 • Weight

  56 kg

Career

 • Matches: 84
 • Discipline: 3 fouls against
 • Passing: 23
 • Club Name: Simba Sports Club
 • Club Debut: March 24th, 2009
 • Previous Club: Young Africans Sports Club
Simba Sports Club 84 Matches Played

Overview

James Agyekum Kotei anajulikana zaidi kama James Kotei (aliyezaliwa tarehe 10.08.1993) ni mchezaji judoka Ghana ambaye anaichezea klabu ya Simba S.C. kaaika ligi kuu Tanzania, VPL.

Historia yake ya kwa ufupi

Amezaliwa na kukulia Accra, Ghana, Kotei alianza kucheza mira na Corner Babies Fc ya mii wa Kumasi mwaka 2002 akiwa na miaka 9 tu. Mwaka 2007, alienda Golden Foot Academy ambapo alicheza katika akademia ya mpira jijini Accra mpaka mwaka 2009.

Ghana

Kotei alianza kucheza mpira wa kiprofesheno mwaka 2010 na klabu iliyopo Dansoman, Liberty Professionals F.c. Umakini wake na umahiri katika klabu hiyo akicheza kama kiungo ulimfanya apewe jina la utani "Unbeatbale James" (James asiyepigika) au "James Lampard". Mwaka 2010-11 katika ligi kuu ya Ghana, kwa umahiri aliouonyesha katika ligi hiyo ulimfanya apewe sifa nyingi na mashabiki wa soka nchini humo.

Oman

Aliondoka Ghana mwaka 2015, kujiunga na klabu ya Oman Professional League Al-Oruba Sc. Alifungua mechi yake ya kwanza na klabu Hiyo tarehe 08.09.2015 Katika droo ya 1-1 na klabu ya Muscat katika msimu wa 2015-16 katika mashindano ya  Oman Professional league club. Alianza kuonekana katika ligi kuu mwezi huo huo mwaka 2015 katika ushindi wa 3-1 dcidi ya Salalah Sc.  Pia alicheza katika mashindano ya Sultan Qaboos Cup tarehe 30.09.2015  kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wapinzani who,Sur Sc. Alicheza katika mechi 8 tu katika msimu wa 2015/16 katika liege ya Oman Professional.

Tanzania

Mwaka 2016, Kotei alihamia Tanzania ambapo alisaini kandarasi ya mwaka mmoja na Klabu ya Simba Sc. Alianza kucheza katika ligi kuu ya Tanzania mwezi wa 12  Latina ushindi wa 2-0 dcidi ya Ndanda Fc. Alipewa heshima  ya mchezaji bora  wa mechi katika ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya wapinzani wao Yanga S.c. katika nusu fainali ya  kombe la Mapinduzi Januari mwaka 2017. 

Source: Wikipedia