Wachezaji

Ally Mustapha ‘Barthez’

Ally Mustapha ‘Barthez’
Goalkeeper

 • Full Name

  Ally Mustapha ‘Barthez’

 • Date of Birth

  September 10th, 1986

 • Place of Birth

  Dar es Salaam

 • Height

  165 cm

 • Weight

  65kg

Career

 • Matches: 65
 • Goals: 15
 • Discipline: 3 fouls against
 • Passing: 23
 • Club Name: Young Africans Sports Club
 • Club Debut: March 24th, 2009
 • Previous Club: Simba Sports Club
Young Africans Sports Club 65 Matches Played

Overview

Huyu ni kipa wa Yanga ambaye pia waliwahi kuitumikia Simba miaka ya nyuma.

Mustapha ni maarufu kwa jina la Barthez, jina ambalo lilitokananna kufananishwa kwake na kipa wa zamani wa Ufaransa, Fabian Barthez.

Moja ya sifa kubwa aliyonayo Mustapha ni kuwa ni mchezaji mvumilivu, amewahi kuingia kwenye msuguano na mashabiki na baadhi ya viongozi wake lakini alionyesha utulivu na kuendelea kuonyesha utulivu kwa kucheza kama kawaida.

Akiwa Simba alikuwa akiwekwa benchi na kipa Juma Kaseja, lakini aliendelea kuwa mtulivu na kucheza mechi kadhaa kabla ya kusajiliwa Yanga ambapo napo amekuwa chaguo la kwanza kisha kuna kipindi pia alikuwa akiwekwa benchi.