Timu

Serengeti Boys

Serengeti Boys national

  • Established in

    2000

  • Club President

    Haruna Niyonzima

  • Manager Name

    Haruna Niyonzima

CLUB HISTORY

Timu ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (U-17) maarufu kwa jina la Serengeti Boys.

Mwaka 2017 ilipata nafasi ya kushiriki katika michuano ya Afrika kwa vijana iliyofanyika nchini Gabon. 

 Ilipangwa Kundi B ikiwa pamoja na Mali, Niger na Angola. Ikaishia hatua ya makundi baada ya kushinda mchezo mmoja, kufungwa mmoja na sare moja. Ililingana pointi sawa na Niger lakini kanuni ya head to head ikasababisha Serengeti iliyoshika nafasi ya tatu iondolewe mashinanoni.

Mei, 15 2017
Mali      0–0      Tanzania

Mei 18, 2017
Tanzania      2–1      Angola
Wafungaji wa Serengeti ni Kelvin Naftal (6) na Abdul Suleiman (70)


Mei 21, 2017
Tanzania      0–1      Niger

Kundi B
                    P     W     D     L     GF     GA     GD     Pts    
1. Mali           3     2      1      0     8      2       +6      7
2. Niger         3     1      1      1     4      4       0        4
3. Tanzania    3     1      1      1     2      2        0       4    
4.  Angola      3     0      1      2     4      10     −6     1