Timu

JKT Ruvu Stars

JKT Ruvu Stars national

  • Club President

    Juma Kaseja

CLUB HISTORY

Hii ni timu inayoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, inautumia Uwanja wa Uhuru na wakati mwingine Uwanja wa Mabatini kama viwanja vyake vya nyumbani.

Timu hii inamilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa na huwa inatumia Uwanja wa Taifa kama uwanja wake wa nyumbani pindi inapocheza dhidi ya Simba au Yanga.

Hilo huwa linafanyika kutokana na ukubwa wa timu hizo mbili ambazo zina idadi kubwa ya mashabiki, mamlaka husika inahisi kama viwanja vya Uhuru na Mabatini vingekuwa vinatumika kwa michezo dhidi ya Simba, visingetosha kupokea mashabiki ambao mara nyingi huwa wanakuwa wengi kuliko idadi ya siti zilizopo katika viwanja hivyo.

Makao makuu ya JKT Ruvu Stars yapo Mkoa wa Pwani.