Timu

Taifa Stars

Taifa Stars national

  • Club President

    Haruna Niyonzima

  • Manager Name

    Haruna Niyonzima

CLUB HISTORY

Hii ni timu ya taifa ya soka ya Tanzania. Imeshiriki katika mechi nyingi za kuwania kufuzu michuano mikubwa ikiwemo Kombe la Dunia na Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Mafanikio makubwa ni kushiriki katika michuano ya Afcon ya mwaka 1980…

Timu hii ilikuwa inaundwa na wachezaji wa Tanzania Bara na wale wa Zanzibar lakini baada ya Zanzibar kupata uanachama wake rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) sasa wachezaji wa pande hizo mbili hawataungana tena.

MAFANIKIO
Kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Nigeria mwaka 1980, pamoja na Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji Wanaocheza Soka Ndani ya Ligi za Ndani, ilikuwa mwaka 2009 nchini 2009.

Viwango vya Ubora vya Fifa: 157
Viwango vya Ubora wa CAF: 48

Kiwango Bora cha muda wote katika viwango vya Fifa ilikuwa mwaka 1995 ambapo ilishika nafasi ya 70.

BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu: Salum Mayanga
Kocha Msaidizi:
Kocha wa Makipa: Patrick Mwangata
Daktari wa Timu: Richard Yomba
Mtaalam wa Viungo: Gilbert Kigadya
meneja wa Timu: Daniel Msangi
Mtunza Vifaa: Ally Ruvu