Timu

Stand United F.C.

Stand United F.C. national

 • Established in

  2012

 • Club President

  Haruna Niyonzima

 • Manager Name

  Haruna Niyonzima

 • Location

  Shinyanga

CLUB HISTORY

Hii ni klabu ya soka ambayo ilianzishwa mwaka 2011, michezo yake ya nyumbani imekuwa ikitumia Uwanja wa Kambarage ulipo Shinyanga, Tanzania. Uwanja huo una uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 10,000. Stand United inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

Waanzilishi wa timu hii kwa asilimia kubwa walikuwa ni wapiga debe wa kituo cha magari kilichopo Shinyanga, timu ilianza kama ya kujifurahisha kwa wahusika kufanya mazoezi pamoja na kucheza mechi kadhaa za kimashindano, muda ulivyosonga mbele, timu ikawa kubwa na kupanda ngazi hadi kufikia kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara.