Timu

Tanzania Prisons FC

Tanzania Prisons FC national

 • Established in

  1985

 • Club President

  Haruna Niyonzima

 • Manager Name

  Haruna Niyonzima

 • Total Title

  87

 • Location

  Mbeya

CLUB HISTORY

Tanzania Prisons FC ni klabu ya soka ambayo ipo mkoani Mbeya nchini Tanzania, inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, michezo yake ya nyumbani huwa inatumia Uwanja wa Sokoine uliopo Mbeya. Timu hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.

 

MAFANIKIO
KOMBE LA MUUNGANO: 1
1999
Hii ilikuwa michuano ambayo ilihusisha timu za Tanzania Bara na Zanzibar, ilihusisha timu tatu zilizoshika nafasi ya juu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Ligi Kuu ya Zanzibar, mshindi  wa hapo ndiye aliyepata nafasi ya kuwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa.

LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF)
Ilishiriki mara moja ikaishia hatua ya awali, mwaka 2000.

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF)
Imeshiriki mara mbili
2005 – Hatua ya awali
2009 – Hatua ya awali

BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu: Abdallah Mohamed
Kocha Msaidizi: Shaban Kazumba
Kocha wa Makipa: Herry Boimanda
Daktari wa Timu: Kilulu Masunga
Meneja wa Timu: Enock Mwanguku
Mtunza Vifaa: Ismail Addo


KIKOSI CHA SASA CHA TANZANIA PRISONS
1. Laurian Mpalile
2. Aaron Kalambo
3. Salum Kimenya
4. James Mwasote
5. Nurdin Chona
6. Jumanne Elifadhili
7. Lambart Sabiyanka
8. Kazungu Nchinyayi
9. Victor Hangaya
10. Mohamed Samatta
11. Benjamin Asukile
12. Andrew Ntala
13. Leons Mutalemwa
14. Joseph Mapalala
15. Salum Bosco
16. Meshack Selemani
17. Khasim Hamis
18. Adam Chimbongwe

Bingwa

KOMBE LA MUUNGANO

1999

Hatua ya awali

LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF)

2005

Hatua ya awali

LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF)

2009