Timu

Kagera Sugar

Kagera Sugar national

 • Established in

  1980

 • Club President

  Haruna Niyonzima

 • Manager Name

  Haruna Niyonzima

 • Total Title

  2

 • Location

  Kagera

CLUB HISTORY

Kagera Sugar F.C ni klabu ya soka ambayo ipo mkoani Kagera katika Wilaya ya Bukoba nchini Tanzania. Timu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, michezo yake ya nyumbani huwa inacheza kwenye Uwanja wa Kaitaba ambao una uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 5,000.

MSIMU WA 2015/16
Kagera Sugar ilimaliza ligi kuu kwa kushika nafasi ya 12 kati ya timu 16, ilicheza mechi 30, ikashinda 8, ikatoka sare 7 na kupoteza michezo 15, jumla ikapata pointi 31.

KIKOSI CHA SASA
1. Mohammed Shariff
2. Juma Kaseka Juma
3. George Benisius Hilary Kavila
4. Salum Kupela Kanoni
5. Iddy Jumma Kulachi
6. Abubakar Twaha Msuya Mtiro
7. Andrew John Ntala
8. Agathon Antony Mkwando
9. Daudi Jumanne Kaipe
10. Juma Thomas Hussein Mpola
11. Isaac Job Ibrahim
12. Aboud Hashim Magumbe
13. Alhaji Said Zege
14. Deogratias Jullius Deo
15. Jimmy Shoji Mwaisondola
16. Joseph James Majagi
17. Keneth Abeid Masumbuko
18. Erick Bigirwa Rwegeiyamu
19. Laurence Edward Mugia
20. Rashid Hussein Simba
21. Rashid Roshwa Rashid
22. Said Hassan Juma
23. Godfey Taita
24. Lambele Jarome Ruben
25. Mbaraka Yusuph Abedi
26. Ramadhan Mzee Kipalamoto
27. Samwel Donald Ngassa
28. Shaban Ibrahim Sunza
29. Martin Lupart Mlolere
30. Juma Jabu Hamis
31. Babu Ally Seif

BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu: Mecky Maxime
Kocha Msaidizi: Ally Jangalu
Kocha wa Makipa: Mussa Mbaya
Daktari wa Timu: Abel Shindika
Meneja wa Timu: Mohamedd Hussein
Mtunza Vifaa: Mohamed Seif