Established in
1935
Club President
nafasi iko wazi
Manager Name
George Lwandamina
Total Title
30
Location
Dar es Salaam
Young Africans Sports Club ni klabu ya soka ambayo inajulikana zaidi kwa jina la Yanga, ni timu ambayo makao makuu yake yapo Mtaa wa Jangwani, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Michezo yake ya nyumbani huwa inacheza kwenye Uwanja wa Taifa, uliopo Temeke, Dar es Salaam ambao unauwezo wa kuingiza mashabiki 60,000.
Yanga ni moja kati ya timu mbili kubwa za soka nchini Tanzania, timu nyingine ambayo pia ni wapinzani wao wa jadi ni Simba. Zote zipo Kariakoo, Dar es Salaam.
Rangi ya Yanga ni njani na kijani pamoja na nyeusi. Yanga ndiyo ambayo inaongoza kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nyingi zaidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba ambao wametwaa mara 18 wakati Yanga wametwaa mara 21.
Shabani Nonda raia wa DR Congo ndiye mchezaji aliyewahi kuichezea Yanga na kupata mafanikio makubwa baadaye, alicheza klabuni hapo mwanzoni mwa miaka ya 1990, baadaye akaondoka na kucheza katika timu za Vaal Professionals, FC Zürich, Rennes, Monaco, Roma, Blackburn Rovers na Galatasaray.
KIKOSI CHA SASA
URAIA NAFASI MCHEZAJI
1. Tanzania GK Been Kakolanya
2. Tanzania GK Deogratius Munishi ‘Dida’
3. Tanzania DF Oscar Joshua Nkulula
4. Tanzania MF Deus Kaseke
5. Tanzania DF Kelvin Yondan
7. Zambia MF Obrey Chirwa
8. Rwanda MF Haruna Niyonzima (Vice-Captain)
9. Togo DF Vincent Bossou
10. Tanzania FW Matheo Anthony
11. Zimbabwe FW Donald Ngoma
12. Tanzania DF Juma Abdul
13. Zimbabwe MF Thabani Kamusoko
14. Zambia MF Justine Zulu
15. Tanzania DF Pato Ngonyani
16. Tanzania FW Malimi Busungu
17. Burundi FW Amissi Tambwe
18. Tanzania MF Emmanuel Martin
19. Tanzania MF Geofrey Mwashiuya
20. Tanzania DF Haji Mwinyi
21. Tanzania MF Juma Mahadhi
22. Tanzania MF Said Juma "Makapu"
23. Tanzania DF Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (Captain)
24. Tanzania GK Beno Kakolanya
25. Tanzania DF Hamis Ramadhan ‘Kessy’
26. Tanzania FW Yusuph Mhilu
27. Tanzania FW Simon Msuva
28. Tanzania DF Andrew Vicent ‘Dante’
WACHEZAJI WA KIMATAIFA
1. Burundi Amissi Tambwe
2. Zambia Obrey Chirwa
3. Rwanda Haruna Niyonzima
4. Togo Vincent Bossou
5. Zimbabwe Thaban Kamusoko
6. Zimbabwe Donald Ngoma
7. Zambia Justine Zulu
BENCHI LA UFUNDI
Mkurugenzi wa Ufundi: -
Kocha Mkuu: George Lwandamina (Zambia)
Kocha Msaidizi: Juma Mwambusi (Tanzania)
Kocha wa Makipa: Juma Pondamali (Tanzania)
Daktari: Dr Edward Bavu (Tanzania)
Meneja wa Timu: Hafidh Saleh (Tanzania)
Physiotherapist: Jacob Onyango (Tanzania)
Mtunza Vifaa: Mahmod Omar (Tanzania)
UONGOZI WA KLABU
Mwenyekiti: Yusuf Manji
Makamu Mwenyekiti: Clement Sanga
Katibu Mkuu: Charles Boniface Mkwasa
Ofisa Habari: -
Director of Finance & Administration: Baraka Deusdedit
MAKOCHA YANGA TANGU MWAKA 1991
Mwaka |
Jina |
Nchi |
1991 |
Syllersaid Mziray |
Tanzania (marehemu) |
1993 |
Nzoyisaba Tauzany |
Burundi (marehemu) |
1995 |
Tambwe Leya |
Mkongo DRC (marehemu) |
1997 |
Sunday Kayuni |
Mtanzania |
1997 |
Steve McLennan |
Muingereza |
1998 |
Tito Mwaluvanda |
Mtanzania (marehemu) |
1999 |
Raoul Shungu |
Mkongo DRC (marehemu) |
2001 |
Boniface Mkwasa |
Mtanzania |
2002 |
Jackson Chamangwana |
Mmalawi |
2004 |
Jean Polycarpe |
Mkongo DRC |
2004 |
Syllersaid Mziray |
Mtanzania (marehemu) |
2005 |
Kenny Mwaisabula |
Mtanzania |
2006 |
Jackson Chamangwana |
Mmalawi |
2007 |
Milutin Sredojevic ‘Micho’ |
Mserbia |
2007 |
Razack Ssiwa |
Mkenya |
2007 |
Jackson Chamangwana |
Mmalawi |
2008 |
Dusan Kondic |
Mserbia |
2010 |
Kostadin Papic |
Mserbia |
2011 |
Sam Timbe |
Mganda |
2011 |
Kostadin Papic |
Mserbia |
2012 |
Tom Saintfiet |
Mbelgiji |
2012 |
Ernie Brandts |
Mholanzi |
2013 |
Hans van Pluijm |
Mholanzi |
2014 |
Marcio Maximo |
Mbrazili |
2015-2016 |
Hans van Der Pluijm |
Mholanzi |
2016-sasa |
George Lwandamina |
Mzambia |
Defender
Defender
Goalkeeper
Midfielder
Forward
Defender
Manager
President
Forward
Goalkeeper
Defender
Defender
Forward
President
Manager
Midfielder
Forward
Home Kit
Away Kit