Timu

Young Africans Sports Club

Young Africans Sports Club ni klabu ya soka ambayo inajulikana zaidi  kwa jina la Yanga, ni timu ambayo makao makuu yake yapo Mtaa wa Jangwani,...

Simba Sports Club

Simba Sports Club ni klabu ya michezo ambayo ndani yake kuna timu ya soka maarufu nchini Tanzania, makao makuu yake yapo Kariakoo jijini Dar es...

Azam FC

Azam Football Club ni klabu ya soka ambayo ilianzishwa Juni 24, 2007, makao makuu yake yapo Chamazi jijini Dar es Salaam na kwa sasa inashiriki Ligi...

Kagera Sugar

Kagera Sugar F.C ni klabu ya soka ambayo ipo mkoani Kagera katika Wilaya ya Bukoba nchini Tanzania. Timu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania...

Mtibwa Sugar Football Club

Hii ni klabu ya soka ambayo ilianzishwa mwaka 1988, kwa sasa inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara.Ilianza kushiriki Ligi Daraja la Nne mwaka...

Mwadui Football Club

Hii ni timu inayoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo makao yake makuu yapo Mwadui mkoani Shinyanga.Mwadui FC iliwahi kushiriki ligi hiyo...

Tanzania Prisons FC

Tanzania Prisons FC ni klabu ya soka ambayo ipo mkoani Mbeya nchini Tanzania, inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, michezo yake ya nyumbani...

Mbeya City Council Football Club

Agosti mwaka 2011, Rhino Football Club ya Arusha iliyokuwa ni klabu ya soka ilinunuliwa na mamlaka ya Jiji la Mbeya, hivyo timuhiyo ikabadilishwa...

Mbao Football Club

Hii ni klabu ya soka ambayo inapatikana Kanda ya Ziwa, jijini Mwanza, inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza msimu wa 2016/17 baada ya...

Stand United F.C.

Hii ni klabu ya soka ambayo ilianzishwa mwaka 2011, michezo yake ya nyumbani imekuwa ikitumia Uwanja wa Kambarage ulipo Shinyanga, Tanzania. Uwanja...

Taifa Stars

Hii ni timu ya taifa ya soka ya Tanzania. Imeshiriki katika mechi nyingi za kuwania kufuzu michuano mikubwa ikiwemo Kombe la Dunia na Kombe la...

Ruvu Shooting

Hii ni timu inayoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, inautumia Uwanja wa Uhuru na wakati mwingine Uwanja wa Mabatini kama viwanja vyake vya...

African Sports Club

African Sports Club ini klabu ya michezo ambayo upo mkoani Tanga, timu ya soka ya African Sports imewahi kucheza Ligi Kuu ya Tanzania Bara mara...

Majimaji Football Club

Majimaji Football Club ni klabu ya soka ambayo makao makuu yake yapo Songea mkoani Ruvuma.Timu hii imekuwa ikitumia Uwanja wa Majimaji ambao una...

Toto Africans Sports Club

Toto Africans Sports Club ni klabu ya michezo ambayo ipo jijini Mwanza, ilianzishwa mwaka 1972.Haikuwa na umaarufu mkubwa miaka ya nyuma kwa kuwa...

JKT Ruvu Stars

Hii ni timu inayoshiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, inautumia Uwanja wa Uhuru na wakati mwingine Uwanja wa Mabatini kama viwanja vyake vya...

Twiga Stars

  Twiga Stars ilianzishwa mwaka 2002. Hicho kilikuwa ni kipindi cha uongozi wa kilichokuwa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT) sasa TFF-...

Serengeti Boys

Timu ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (U-17) maarufu kwa jina la Serengeti Boys. Mwaka 2017 ilipata nafasi ya kushiriki katika michuano...

lipuli

Timu ya lipuli imepanda daraja msimu wa mwaka 2017/2018,uwanja wa nyumbani ni sokoine

singida united

singida united imepanda ligi msimu wa mwaka 2017/2018