Habari za Kitaifa

VIDEO: UCHAMBUZI WA MANCHESTER CITY VS ARSENAL, CHELSEA VS MANCHESTER UNITED

Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ inatarajiwa kuendelea leo ambapo kutakuwa na vigogo wanne uwanjani.

Manchester City ambao ni vinara wa ligi wanawakaribisha vijana wa Kocha Arene Wenger, Arsenal, wakati Manchester United itakuwa ugenini kuvaana na Chelsea.

Huu hapa uchambuzi yakinifu wa michezo hiyo ya Premier ambayo ni gumzo duniani kote kwa siku ya leo Jumapili.