Habari za Kitaifa

VIDEO: WALE MNAOSEMA WAWA NI MZEE HAYA HAPA MAJIBU YENU KUTOKA KWA KOCHA

Baada ya kuwepo na taarifa nyingi kutoka kwa mashabiki hasa wakidai beki wa kati Pascal Wawa wa Simba kuwa ni mzee, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Masoud Djuma ameamua kufunguka juu ya maneno hayo yanayosambaa.

 Bonyeza video kutazama alichokisema kocha.