Habari za Kitaifa

WASHINDI WOTE WA TUZO ZA MO SIMBA 2018 ZILIZOTOLEWA JANA USIKU

Screen Shot 2018 06 12 at 10.26.07 AM

 1. 1. GOLIKIPA BORA WA MWAKA

 

 Aishi Manula - WINNER 

Said Mohamed 'Nduda'

Emmanuel Elias Mseja

 

 1. 2. BEKI BORA WA MWAKA

 

Yusuph Mlipili

 Erasto Nyoni - WINNER 

Shomari Kapombe

 

 1. 3. KIUNGO BORA WA MWAKA

 

Jonas Mkude

James Kotei

 Shiza Kichuya – WINNER 

 

 1. 4. MSHAMBULIAJI BORA WA MWAKA

 

 Emmanuel Okwi - WINNER 

John Bocco

Shiza Kichuya

 

 1. 5. MCHEZAJI BORA MWANAMKE WA MWAKA

 

Rukhia Salum

 Zainabu Rashidi Pazzi - WINNER 

Dotto Makunja

 

 1. 6. MCHEZAJI BORA MDOGO WA MWAKA

 

Ally Salim (GK)

 Rashid Juma – WINNER 

Salumu Shabani

 

 1. 7. GOLI BORA LA MWAKA

 

John Bocco (Prisona vs Simba)

Emmanuel Okwi (Simba vs Ndanda)

 John Bocco (Simba VS Mwadui)- WINNER 

 

 1. 8. TUZO YA BENCHI LA UFUNDI

Pierre Lechantre – Kocha Mkuu

Masoud Djuma – Kocha Msaidizi

Mohamed Aymen – Kocha wa Viungo

Muharam Mohamed – Kocha wa Makipa

Richard Robert – Meneja wa Timu

Yassin Gembe – Daktari wa Timu

Abbas Selemani – Mratibu

 

 1. 9. SHABIKI BORA WA MWAKA

 Fihi Salehe Kambi 

 1. 10. MHAMASISHAJI BORA WA MWAKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII

  Hamis Mwinjuma (Mwana FA) - WINNER

Salama Jabir – WINNER 

Zitto Kabwe

Vyonne Cherrie (Monalisa)

Omary Nyembo (Ommy Dimpoz)

 

 1. 11. MHAMASISHAJI BORA

 

 Haji Manara - WINNER

Ringo

Mzee Muchacho

 

 1. 12. TAWI BORA LA MWAKA

Wazo Hill

 Ubungo Terminal - WINNER 

Vuvuzela

 

 1. 13. KIONGOZI BORA WA MWAKA

 Kaimu Rais wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah Muhene 'Try Again'

 

 1. 14. TUZO YA WASIMAMIZI WA MCHAKATO WA MABADILIKO

Jaji Mstaafu Thomasi Mihayo

Wakili Damasi Ndumbaro

Abdulrazak Badru 

Mussa Hassan Zungu

Yusuph Nassoro

Brenda Mrema

Mzee Hamis Boma

Revocatus Cosmas Sangu

Hashim Nyendage

Gervas Alpha Honest

Emmanuel Metusela Urembo

Mulamu Nghambi

Selemani Omari

Aziz Kifile

Salim Abdallah Muhene

Arnold Kashembe

Omari Bakari Mtika

Evodius Mtawala

 Selemani Matola – WINNER 

 

 1. 15. MCHEZAJI BORA WA MWAKA

Emmanuel Okwi

 John Bocco - WINNER 

Shiza Kichuya