Habari za Kitaifa

MANENO YA HAJI MANARA BAADA YA KUPATA TUZO MO SIMBA AWARDS

 Screen Shot 2018 06 12 at 10.21.00 AM

Muda mfupi baada ya Ofisa Habari wa Klabu ya Simba kupata Tuzo ya Mhamishaji Bora wa Simba ametoa kauli ya shukrani.

 "Alhamdulillah Simba SC..kuwa Most Influential of The Year ni heshima kubwa kwangu na kwa my family.

 "Lakini hii itaniongezea chachu zaid ya kupigania na kuitangaza klabu hii kubwa nchini.

 "Viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa Simba tuendelee kushikamana na tukosoane kwa hoja na heshma katika kufikia malengo..na Inshaalla tutayafikia...Asanteni nyote.