Habari za Kitaifa

(PICHA) YANGA INAKIMBIZA MWIZI KIMYAKIMYA, YAINASA SIMBA SC KWA POINTI VPL

Yanga ni kama wanakimbiza mwizi kimyakimya, kwani Jumatatu ya leo wamefanikiwa kuichakaza Stanbd United mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom na hivyo kuikamata Simba katika ligi hiyo. 

Yanga sasa imefikisha pointi 46 ikiwa sawa na Simba lakini Simba ipo kileleni kwa tofauti nzuri ya mabao ya kufunga na kufungwa.