Habari za Kitaifa

Picha zote na Khatibu Mussa

Tazama matukio picha katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye Uwanja wa Taifa kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Yanga ambapo Yanga imepata ushindi wa bao 1-0. Kutokana na ushindi huo Yanga imefikisha pointi 25 ikishika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hiyo, huku vinara Simba wakiwa na pointi 29.