Habari za Kimataifa

LIVERPOOL YAMPIGA MTU 7-0, MAN CITY YAPIGWA, REAL MADRID YASHINDA KWA MBINDE

 

Timu ya Liverpool imeifunga Spartak Moscow mabao 7-0, wafungaji ni Philippe Coutinho (matatu), Emre Can, Sadio Mane (mawili) na Mohamed Salah.

Matokeo mengine ya michuano hiyo inayojulikana kwa jina la Uefa Champions League kwa michezo ya jana usiku ni haya hapa:

Real Madrid 3 - 2 Borussia Dortmund

Maribor 1 - 1 Sevilla

Shakhtar Donetsk 2 - 1 Manchester City

RB Leipzig 1 - 2 Beşiktaş

Porto 5 - 2 Monaco

Feyenoord 2 - 1 Napoli

Tottenham Hotspur 3 - 0 APOEL

Liverpool 7 - 0 Spartak Moskva