Mkongwe katika ulimwengu wa vipindi vya runinga, Oprah Winfrey ametuma ujumbe maalum kwa mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi kuelekea michuano ya Kombe la Dunia.
Mkongwe katika ulimwengu wa vipindi vya runinga, Oprah Winfrey ametuma ujumbe maalum kwa mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi kuelekea michuano ya Kombe la Dunia.
Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Urusi, Boris Johnson amesema anakubaliana na kauli ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin
Timu ya Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia katika Hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema kwa sasa mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba hana furaha.
Mara baada ya msafara wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars' kuondoka Dar es Salaam kwenda Algeria, jana Jumatatu, mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta tayari ameshatua nchini humo kuungana na wenzake hao.