BAO LA BUSWITA LILILOIPA YANGA POINTI 3 | YANGA 1-0 RUVU SHOOTING

by Harun, 4 months ago
0

Katika dimba la taifa hii leo, ilichezwa mechi kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting,ambapo hadi mwisho wa mchezo Yanga walijinyakulia pointi tatu muhimu kwa ushindi wa goli 1-0.