MAGOLI YOTE | Yanga 1-2 Township Rollers

by Harun, 3 months ago
0

Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika uliopigwa katika dimba la Taifa Dar es Salaam kati yanga v township rollers ambao memalizika kwa yanga kufungwa goli mbila kwa moja .Kwa matokeo haya Yanga inahitaji ushindi wa kuanzia 2-0 ugenini katika mchezo wa marudiano nchini Botswana.