MASHABIKI WA SOKA WALIA NA TIMU ZA TAIFA TANZANIA

by Harun, 7 months ago
0

Baada ya timu ya Tanzania bara, Kilimanjaro Stars kutoka kichwa chini katika michuano ya Cecafa senior Challenge Cup baada ya matokeo mabovu ya kupoteza mechi tatu na kutoa sare mechi moja, haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki.