Yanga waukubali mziki wa Township Rollers

by Harun, 4 months ago
0

Kocha msaidizi wa Yanga amesifia wapinzani wao Township Rollers baada ya kipigo cha goli mbili kwa moja kwenye mchezo wa kwanza michuano ya klabu bingwa Afrika.