Mo Ibrahim Mazoezini Mashabiki wapagawa kumuona

by Harun, 4 months ago
0

Mchezaji wa Simba Sc ambaye amekua benchi kwa muda mrefu, Mohamed Ibrahim leo amenaswa na kamera za ShutikaliTv akiwa fiti katika mazoezi na huenda hivi karibuni tukamuona akipata namba katika kikosi cha Lechantre. Mo ambaye siku za karibuni ametawala vichwa vya habari na kuhusishwa kutaka kwenda Yanga Sc kuungana na Ibrahim Ajib alikua akifanya mazoezi huku kocha wa viungo akisimamia.