ALICHOKISEMA SHEDRACK NSAJIGWA BAADA YA USHINDI DHIDI YA NJOMBE MJI

by Harun, 4 months ago
0

Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Sc, akiongea na waandishi wa habari kuhusu mchezo uliomalizika kati ya Yanga vs Njombe Mji ambapo Yanga wameibuka na ushindi wa goli 4-0 katika mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom. H