NSAJIGWA;TUNGEFUNGA MABAO MENGI LAKINI WACHEZAJI HAWAJIAMINI

by Harun, 4 months ago
0

Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Shadrack Nsajigwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya mchezo baina ya Yanga na Ruvu Shooting ambapo Yanga ilishinda 1-0.