AJIBU AREJEA UWANJANI,YONDANI BADO HOI

by Harun, 4 months ago
0

Wakati wachezaji wa Yanga wakiendelea na mazoezi huku wakijiandaa kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi, habari ni kuwa kuna mchezaji mahiri wa Yanga bado yupo nje akiwa ni majeruhi. Kelvin Yondani ambaye ni beki wa kati wa timu hiyo ya Yanga, anatarajiwa kurejea uwanjani mwishoni mwa wiki ijayo kutokana na kutokuwa fiti kiafya.