Yanga 3-1 Stand United | TAZAMA Magoli yote ya Chirwa, Ajibu na Yussuf Mhilu

by Harun, 3 months ago
0

Tazama magoli yote yaliyofungwa katika mchezo wa mzunguko wa 22 ligi kuu ya Vodacom, kati ya Yanga na Stand United.Magoli ya Yanga yamefungwa na Yussuf Mhilu, Ibrahim Ajibu na Obrey Chirwa huku la Stand United akifunga Ally Ally.